Band inayo kuja kwa kasi ya 4G,Muunganiko wa vijana wanne wanaojituma wameandaa show kubwa ya kukata na mundu itakayofanyika maeneo ya Chanika katika ukumbi wa BUTIAMA.
katika shoo hiyo watatambulisha wimbo wao mpyaaa, unaokwenda kwa jina la MGENI WA NANI pia watakuwepo wasanii kibao kama vile SHOLOMWAMBA.KHADIJA YUSUF na wengine kibao.
Shoo itaanza saa 3 usiku hadi kucheeeeeee, njoo ushuhudie BURUDANI ambayo haijawahi kutokea kiingilio ni Tsh.5000 tu.
HII SIO YA KUKOSAAAA!!!!!!!!!!
NA Albert Augustine
Title :
NTAMBA BAND,SHOLOMWAMBA,KHADIJA YUSUF, MUDY MSANII, KUKIWASHA TAREHE 16 YA PASAKA
Description : Band inayo kuja kwa kasi ya 4G,Muunganiko wa vijana wanne wanaojituma wameandaa show kubwa ya kukata na mundu itakayofanyika maeneo ya Chani...
Rating :
5