kundi linaloundwa na vijana wanne chini ya usimamizi wa NYEGERAWAITU entertainment maarufu kama NTAMBA BAND baada ya kuachia ngoma kali iliyofanya vizuri mwaka jana na bado inaendelea kufanya vizuri katika redio na tv steshen wameachia wimbo wao mwingine unaokwenda kwa jina la MGENI WA NANI gusa link ya download hapo juu uweze kuipakua pamoja na kusikiliza laivu
Title :
(AUDIO)DOWLOAD NEW SONG NTAMBA BAND - MGENI WA NANI
Description : kundi linaloundwa na vijana wanne chini ya usimamizi wa NYEGERAWAITU entertainment maarufu kama NTAMBA BAND baada ya kuachia ngoma ka...
Rating :
5