Ntamba band chini ya usimamizi wa mkurugenzi wa nyegerawatu entertainment dr ntamba na mungu wameiachia rasmi video ya wimbo wao uitwao baridi.
Kwasasa video hiyo imeshaanza kuchezwa kwenye television stations zetu huku wakiwaahidi mashabiki wao kuwa wategemee kupokea kitu kingine kikali zaidi ya hicho.
Pamoja na kuwaelekeza mashabiki wao kuwa wanaweza kuitazama YouTube NtambaTv na kufahamu mengi kutoka kwao kwenye mitandao ya kijamii
Instagram@ntamba_band
Facebook page. Ntamba band.
 |
| picha kipande cha video |
Title :
NTAMBA BAND WAACHIA VIDEO YA BARIDI
Description : Ntamba band chini ya usimamizi wa mkurugenzi wa nyegerawatu entertainment dr ntamba na mungu wameiachia rasmi video ya wimbo wao uitwao b...
Rating :
5