Siku chache tu baada ya kumpigia debe rais mteule wa Marekani, Donald Trump — na saa chache baada ya kukatisha njiani show yake ya Sacramento — Kanye West ameisitisha show yake ya L.A.
Show hiyo ya Jumapili, ilisitishwa walau saa tatu kabla ya kufanyika. Hadi sasa hakuna maelezo yaliyotolewa kutoka kwenye label ya Kanye wala promota wa show, Live Nation kuhusu sababu ya kufanyika hivyo.
Mashabiki waliokuwa wamenununua tiketi watarudishiwa fedha zao.
Kusitishwa kwa show hiyo kumekuja wakati ambapo Kanye ameingia kwenye headline kwa kuwadiss Jay Z na Beyonce.
Title :
Kanye West asitisha show yake ya LA, saa chache baada ya kuikatisha ya Sacramento
Description : Siku chache tu baada ya kumpigia debe rais mteule wa Marekani, Donald Trump — na saa chache baada ya kukatisha njiani show yake ya Sacrament...
Rating :
5