Kama ulikuwa umeikosa ladha mpya kwenye miondoko ya Band basi huu ndo wasaa wako wa kuburudika ka kundi jipya la NTAMBA BAND linalokuletea kibao chako kipya cha BARIDI.
Mkurugenzi na Boss wa Bandi hii anakudhibitishia leo kua nyimbo hii imeachiwa na itapatika mitandaoni kote.
DOWNLOAD HAPA...NA SIKILIZA PIA
Title :
NEW(AUDIO) NTAMBA BAND- BARIDI (DOWNLOAD & LISTEN)
Description : Kama ulikuwa umeikosa ladha mpya kwenye miondoko ya Band basi huu ndo wasaa wako wa kuburudika ka kundi jipya la NTAMBA BAND linalokuletea...
Rating :
5