Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni
wa Marekani John Kerry, amekanusha vikali madai kwamba Marekani ililipa
kikombozi cha dola milioni moja kuwakomboa wafungwa wa taifa hilo
waliozuiliwa nchini Iran.
Amesema malipo hayo yalikuwa ya kutatua mgogoro kuhusu mpango wa ununuzi wa bidhaa za kijeshi.
Wanasiasa wa chama cha Republican wameshambulia serikali kutokana na malipo hayo.
Malipo
hayo yalitolewa wakati wa kutia saini mkataba wa kinyuklia, na
ubadilishanaji wa wafungwa ambapo wafungwa wanne wa Marekani
waliachiliwa
Title :
MAREKANI YAKANA KUILIPA KIKOMBOZI MAREKANI
Description : Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Marekani John Kerry, amekanusha vikali madai kwamba Marekani ililipa kikombozi cha dola milioni ...
Rating :
5