Beyonce ameamua kuwaonyesha hadharani watoto wake mapacha.
Muimbaji huyo kupitia mtandao wa Instagram, ameonyesha kuwa watoto hao wana mwezi mmoja tangu wamezaliwa.
Mapacha hao waliozaliwa ni mmoja wa kike na mwingine wakiume na tayari walishapewa majina ya Sir na Rumi.
Title :
Beyonce awaweka hadharani mapacha wake
Description : Beyonce ameamua kuwaonyesha hadharani watoto wake mapacha. Muimbaji huyo kupitia mtandao wa Instagram, ameonyesha kuwa watoto hao wana...
Rating :
5