Masanii -AbbyTino
Msanii chipukizi anayekuja kwa kasi ya 4G akikimbiza katika muziki wa kizazi kipya [BONGOFLEVA] AbbyTino, Amefunguka na kusema Management yake ya NyegerawaituEntertainment inatambua thamani ya vipaji walivyonavyo vijana na ndiyo maana hata yeye yuko pale.
Abby alitamba kwa wimbo wake wa MACHO YANGU aliongeza kwa kusema managment hiyo ina mjari kila msanii,haina ubaguzi wa aina yoyote na ndiyomaana hata katika uandaaji wa kazi za wasanii haina upendeleo wowote
AbbyTino ambaye yupo katika Band mpya ya NyegeraInternational anadai watatambulisha wimbo wao hivi karibuni hivyo anawaomba Watanzania na Wadau wa muziki Wakae mkao wa kula.
alimaliza kwa kusema hata Mmkurugenzi wa Management hiyo [DR.NTAMBA NA MUNGU]
Ni mtu wa watu pia anapenda muziki mzuri.
Chanzo cha habari ni Ntamba Tv
Title :
AbbyTino - Nyegerawaituentertainment inajua nini maana ya KIPAJI
Description : Masanii -AbbyTino Msanii chipukizi anayekuja kwa kasi ya 4G akikimbiza k...
Rating :
5