Mbunifu mkongwe wa mavazi hapa nchini, Asia Idarous amepata shavu la kuiwakilisha Tanzania kwenye tamasha la mitindo la ‘Africa To New Africa’ nchini Marekani.
Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika kwa siku tatu kuanzia Ijumaa hii ya Mei 5 mpaka siku ya Jumapili katika mji wa Atlanta.
Asia ni muasisi matamasha wawili ambayo ni ‘Kanga Za Kale’ na ‘Lady in Red’.
Title :
Asia Idarous kuiwakilisha Tanzania kwenye ‘Africa To New Africa’ Marekani
Description : Mbunifu mkongwe wa mavazi hapa nchini, Asia Idarous amepata shavu la kuiwakilisha Tanzania kwenye tamasha la mitindo la ‘Africa To New Afri...
Rating :
5