Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amefanya mahojiano ya kwanza na waandishi wa habari tangu aingie madarakani mwaka mmoja uliopita. Wakati wa mkutano huo Magufuli alisema kuwa hajakandamiza demokrasia nchini humo bali anachokifanya hivi sasa ni kuinyoosha nchi pamoja na kuwataka watu wake waishi kwa kutegemea mishahara nasio ujanja ujanja.
Title :
Magufuli: Sijazima demokrasia Tanzania
Description : Rais wa Tanzania Dkt. John Magufuli amefanya mahojiano ya kwanza na waandishi wa habari tangu aingie madarakani mwaka mmoja uliopita. W...
Rating :
5