Katika mchezo wa Everton Vs Gor Mahia uliomalizika kwa The Blues kuibuka na ushindi wa 2-1, imeibua matukio mengi huku kubwa kuliko yote ni lile la shabiki mmoja kuingia uwanjani na kumkumbatia mshambuliji mpya machachari wa Everton, Wayne
Rooney akiwa na shabiki aliyevaa jezi ya Everton
Rooney hakuonyesha dalili yoyote ya kumkwepa kijana huyo aliyevalia jezi ya Manchester United klabu ya zamani ya mshambuliaji huyo.
Jeshi la posili lilimshikilia kijana huyo kabla ya kuachiwa muda mfupi baadaye baada ya viongozi wa Tanzania kutaka aachiwe.
Title :
Kutana na shabiki aliyemvamia Rooney katikati ya mchezo
Description : Katika mchezo wa Everton Vs Gor Mahia uliomalizika kwa The Blues kuibuka na ushindi wa 2-1, imeibua matukio mengi huku kubwa kuliko yote n...
Rating :
5