‘Bado Niponipo’ ni moja ya nyimbo zake kubwa kuwahi
kutokea pia katika bongofleva ambayo ilibebwa na swali kubwa la MwanaFA
unaoa lini? sasa jibu lenyewe ndio limepatikana leo June 5 2016.
Picha kutoka @papichulo_chuly na @AyTanzania
Title :
MWANAMZIKI MWANA FA AFUNGA NDOA AACHANA NA UKABWELA .....(PICHA ZOTE ZIKO HAPA)
Description : ‘Bado Niponipo’ ni moja ya nyimbo zake kubwa kuwahi kutokea pia katika bongofleva ...
Rating :
5